| POST | MTEKNOLOJIA MSAIDIZI (MAABARA) – 5 POST |
| EMPLOYER | Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa |
| APPLICATION TIMELINE: | 2024-04-03 2024-04-16 |
| JOB SUMMARY | NA |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuandaa vitendanishi (reagents) vya kufanyia vipimo vya Maabara; ii. Kufanya kazi za awali sampuli zinazoletwa maabara; iii. Kukusanya damu kutoka kwa wagonjwa na watu wanaojitolea; iv. Kurekodi matokeo ya vipimo kwenye regista; v. Kutayarisha vifaa vya kazi; vi. Kuhifadhi kwa mujibu wa taratibu sampuli zote zinazohitaji kuhifadhiwa baada ya uchunguzi; na vii. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye cheti katika fani ya Maabara kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Mabaraza yao pale inapohusika. |
| REMUNERATION | TGHS A |
MTEKNOLOJIA MSAIDIZI (MAABARA) – 5 POST
Nafasi za kazi na Ajira mpya
Get Notified
Get Notified about latest articles published on Ajirakazi.co.tz
Similar Articles
Discover a wide range of job listings across various sectors below













