More

    MSAIDIZI AFYA YA MAZINGIRA II (ENVIROMENTAL HEALTH ASSISTANT II) – 2 POST

    Nafasi za kazi na Ajira mpya

    POST MSAIDIZI AFYA YA MAZINGIRA II (ENVIROMENTAL HEALTH ASSISTANT II) – 2 POST
    EMPLOYER Mkoa wa Arusha
    APPLICATION TIMELINE: 2024-07-07 2024-07-20
    JOB SUMMARY N/A
    DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Kudhibiti na kuzuia milipuko ya magonjwa.

    ii.Kupambana na kuzuia wadudu na wanyama wanaoeneza magonjwa.

    iii.Kusimamia uzikaji wa maiti zisizotambuliwa na zile zinazotokana na magonjwa ya kuambukiza.

    iv.Kuandaa taarifa mbali mbali za Afya ya Mazingira katika ngazi ya kata na kuziwasilisha katika mamlaka husika.

    v.Kukusanya na kuchambua takwimu za Afya ya Mazingira, katika kata na kutoa mrejesho ili kuchukua hatua zinazostahili.

    vi.Kutoa elimu ya afya ya mazingira kwa jamii.

    vii.Kukagua mazingira katika sehemu zinapotengenezwa vyakula ili kuhakikisha usalama na afya ya jamii.

    viii.Kusimamia sheria za afya ya mazingira katika ngazi ya Kata pamoja na kusaidia jamii katika kutengeneza sheria ndogondogo.

    ix.Kuhamasisha jamii katika kuboresha vyanzo vya maji na Usafi wa Mazingira.

    x.Kuhamasisha jamii kuhusu utekelezaji wa Huduma za Afya ya Msingi katika ngazi ya Kata.

    xi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

    QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa wenye Astashahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
    REMUNERATION TGHS A

    APPLY HERE

    Get Notified

    Get Notified about latest articles published on Ajirakazi.co.tz

    About this Article

    Published date

    Category

    Tags

    Similar Articles

    Discover a wide range of job listings across various sectors below

    100 SME’s Sales Agents at NAD Insurance Agency

    Full timeSales and Markerting
    Read more

    Senior Accountnt at Miracle Experience

    Full timeAccountantAccounting and FinancemanagementManager

    Junior Accountant at Miracle Experience

    Full timeAccountantAccounting and Finance

    InternAGRICULTURAL

    Full timeMonitoring and Evaluation

    Data Analyst at Sightsavers

    Full timeData OfficerData Scientist