More

    MTEKNOLOGIA MSAIDIZI DARAJA LA II – MAABARA (ASSISTANT LABORATORY TECHNOLOGIST II) – 10 POST – MKOA WA ARUSHA

    Nafasi za kazi na Ajira mpya

    POST MTEKNOLOGIA MSAIDIZI DARAJA LA II – MAABARA (ASSISTANT LABORATORY TECHNOLOGIST II) – 10 POST
    EMPLOYER Mkoa wa Arusha
    APPLICATION TIMELINE: 2024-07-07 2024-07-20
    JOB SUMMARY N/A
    DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Kuandaa vitendanishi (reagents) vya kufanyia vipimo vya Maabara.

    ii.Kufanya kazi za awali sampuli zinazoletwa maabara.

    iii.Kukusanya damu kutoka kwa wagonjwa na watu wanaojitolea.

    iv.Kurekodi matokeo ya vipimo kwenye regista.

    v.Kutayarisha vifaa vya kazi.

    vi.Kuhifadhi kwa mujibu wa taratibu sampuli zote zinazohitaji kuhifadhiwa baada ya uchunguzi.

    vii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

    QUALIFICATION AND EXPERIENCE Muombaji mwenye cha Astashahada katika fani za Maabara kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Baraza la Wataalam wa Maabara.
    REMUNERATION TGHS A

    APPLY HERE

    Get Notified

    Get Notified about latest articles published on Ajirakazi.co.tz

    About this Article

    Published date

    Category

    Tags

    Similar Articles

    Discover a wide range of job listings across various sectors below

    100 SME’s Sales Agents at NAD Insurance Agency

    Full timeSales and Markerting
    Read more

    Senior Accountnt at Miracle Experience

    Full timeAccountantAccounting and FinancemanagementManager

    Junior Accountant at Miracle Experience

    Full timeAccountantAccounting and Finance

    InternAGRICULTURAL

    Full timeMonitoring and Evaluation

    Data Analyst at Sightsavers

    Full timeData OfficerData Scientist