| POST | DAKTARI MSAIDIZI DARAJA II – 5 POST |
| EMPLOYER | Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa |
| APPLICATION TIMELINE: | 2024-04-03 2024-04-16 |
| JOB SUMMARY | NA |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kutambua matatizo ya wagonjwa na kutoa huduma za tiba, kinga na huduma kwa kina mama na watoto; ii. Kufanya upasuaji wa dharura na wa kawaida; iii. Kupanga, kutekeleza na kutathimini huduma za afya sehemu zao za kazi; iv. Kupanga utekelezaji wa mipango ya kukabili majanga na dharura mbalimbali; v. Kufanya utafiti katika maeneo mbalimbali ya afya ili kuboresha utoaji huduma; na vi. Kufanya kazi nyingine kadiri atakavyoelekezwa na Msimamizi wa kazi. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye Stashahada ya juu (Advance Diploma) ya Tiba kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali walio na leseni ya kufanya kazi kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika pamoja na uzoefu wa kazi kwa muda usiopungua miaka mitatu. |
| REMUNERATION | TGHS |
DAKTARI MSAIDIZI DARAJA II – 5 POST
Nafasi za kazi na Ajira mpya
Get Notified
Get Notified about latest articles published on Ajirakazi.co.tz
Similar Articles
Discover a wide range of job listings across various sectors below













